BIN HAFIDH
ASALAM ALAYKUM WAJA WA ALLAH
TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA
Jumanne, 24 Septemba 2013
Hawa walikuwa baadhi wlaiokuwemo ndani ya jengo hilo wakitafuta mahala salama pa kukimbilia waliposikia milio ya risasi na milipuko
Moshi mkubwa ukifuka kutoka katika jengo la Westgate ambalo magaidi waliliteka pamoja na wakenya kadhaa waliokuwemo ndani ya jengo hilo kuanzia Jumamosi asubuhi
Hawa walikuwa baadhi wlaiokuwemo ndani ya jengo hilo wakitafuta mahala salama pa kukimbilia waliposikia milio ya risasi na milipuko
Baadhi ya waliojeruhiwa wakikimbizwa kupokea huduma ya kwanza., Kwa mujibu wa taarifa za serikali zaidi ya watu 175 walijeruhiwa kwenye mashambulizi hayo
Jeshi lilikuja kwa haraka kuweza kukabiliana na magaidi hao ambao mara ya kwanza walidhaniwa kuwa wezi wa kawaida.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni