Pia tukio hili linajiri huku kukiwa na juhudi za kimataifa kufanya mkutano wa amani waGeneva unaolenga kumaliza mzozo wa miezi 32 nchini Syria.
Wapinzani wanataka mazungumzo yoyote yatakayofanywa yaelekeze katika kipindi cha mpito ambacho serikali ya rais Bashar Al Assad haitahusika kwa namna yoyote.
Hata hivyo askari tiifu kwa rais Assad wameonekana kushinikiza ushindi katika mapambano mengi iwezekanavyo kwa ajili ya kujikweza katika mazungumzo ya mjini Geneva yaliyopangwa kufanyika mnamo Januari 22 mwaka ujao.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni