TANGAZO

TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA

Alhamisi, 26 Septemba 2013

ALSHABAB MPAKA KIELEWEKE KENYA


Magaidi Tena Kenya, walipua kituo cha polisi, waua watu watatu, magari 11 yachomwa
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa watu wanaozaniwa kuwa ni magaidi wamevamia kituo cha Polisi katika Mji wa Mandera nchini Kenya na kuwaua polisi wawili, watatu wamejeruhiwa vibaya na baadaye kuchoma magari zaid ya 11.

Ungana nasi baadaye kwa habari zaidi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni