TANGAZO

TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA

Jumanne, 8 Oktoba 2013

Wanajeshi watano wauawa Misri

Kuna wasiwasi kuwa wanajeshi na vikosi vya usalama vinalengwa kwa mashambulizi la Misri
Watu waliojihami nchini Misri wamewaua wanajeshi watano katika eneo la Mkondo wa Suez mjini Ismailiya.

Maafisa wa usalama wanasema kuwa washambuliaji waliwafyatulia risasi wanajeshi hao walipokuwa wanaketi karibu na kizuizi cha barabarani kaskazini mwa mji huo.

Maafisa wa usalama wanasema kuwa wanajeshi wamekuwa wakilengwa kwa mashambulizi katika siku za hivi karibuni.

Wakati huohuo, mlipuko mkubwa uliotokana na bomu liliokuwa limetegwa ndani ya gari limelipuka na kuwaua watu wa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni