TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA
Jumapili, 6 Oktoba 2013
arekani yaingia Barawe na Tripoli
Waziri wa Mashauri ya nchi za Nje wa Marekani, John Kerry, amesema kuwa mashambulio yaliyofanywa na
MTOTO WA AJABU AZALIWA ZANZIBAR!
MTOTO WA AJABU AZALIWA ZANZIBAR, AANZA KUONGEA AKIWA NA MIEZI MIWILI TU. MAMA AMFIKISHA KWA VIONGOZI NA KUFUNGUKA MAKUBWA. SOMA HAPA
MTOTO wa miezi 10, aliyetambuliwa kwa jina la Fahazal mkazi wa Kivunge amefikishwa mbele ya serikali ya mkoa wa kaskazini Unguja, baada ya mama yake mzazi kusema amekuwa akitokewa na maajabu na kwamba jamii iombe dua ili kunusuru kutokea vifo.
Jumamosi, 5 Oktoba 2013
Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,100
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi za kazi 1,134 katika sekta mbalimbali za ofisi za umma.
yombo vya habari sasa kuminywa zaidi
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam, jana. PICHA | FIDELIS FELIX
Dar es Salaam.
Siku sita baada ya Serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa madai ya
Rais jakaya agongelea msumari wa mwisho kwa vya vyasiasa kuhusina na mchakato wa katiba mpya
Rais Jakaya Kikwete
*Apinga maandamano ya wapinzani
*Awakaribisha Ikulu kwa majadiliano
*Amshushua Tundu Lissu, asema mzushi
*Kuvunjwa Tume ya Warioba afafanua
*Awakaribisha Ikulu kwa majadiliano
*Amshushua Tundu Lissu, asema mzushi
*Kuvunjwa Tume ya Warioba afafanua
Rais Jakaya Kikwete, amekata mzizi wa fitina katika suala la mchakato wa katiba kwa kushauri ile hoja ya Kamati ya Bunge ya Katiba
Jisajili kwenye:
Maoni
(
Atom
)