TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA
Jumamosi, 12 Oktoba 2013
Ijumaa, 11 Oktoba 2013
Pinda ampiga stop Magufuli ni mara baada ya meli, mizigo kukwama bandarini

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ametengua maamuzi yaliyofanywa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli ya kuongeza tozo ya asilimia tano kwa wasafirishaji wa malori na mabasi kwa uzito unaozidi.Ajali ya moto ya ua watu kumi nchini japani
10 wafariki katika ajali ya moto ndani ya hospitali Japan
hebu skia hjii heti wabakaji nchini kenya adhabu yaokukata nyasi

Mwathiriwa alisema kuwa anawajua wabakaji
Wakenya wameghadhabishwa sana na hatua ya wanaume watatu waliombaka msichana mmoja na kutupa mwili wake kwenye choo kuamrishwa na polisi kukata nyasi kama adhabu kwao.
JK: Tunataka malaria ikome mwaka 2016

Rais Jakaya Kikwete, amesema ni dhamira ya Tanzania kuhakikisha kwamba malaria inatokomezwa kabisa hapa nchini ifikapo mwaka 2016.
AU kujadili uhusiano wake na ICC

AU inajadili swala hili baada ya ICC kupuuza ombi la kutaka kuhamisha kesi za Kenyatta na Ruto
Marais wa Afrika wanakutana wikendi hii mjini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili uhusiano wa bara la Afrika na mahakama ya kimataifa ya jinai ICC.
Rais Banda awafuta kazi mawaziri kwa ufisadi

Rais Banda amewafuta kazi mawaziri wake wote kutokana na ufisadi
Rais wa Malawi, Joyce Banda amelifuta kazi baraza lake la mawaziri kutokana na kuongezeka kwa visa vya ufisadi serikalini.
Maafisa wa serikali wamekuwa wakipatikana na pesa zikiwa zimefichwa chini ya vitanda vyao na kwenye magari yao, kwa mujibu wa mwandishi wa BBC Raphael Tenthani.
Jisajili kwenye:
Maoni
(
Atom
)