TANGAZO

TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA

Jumapili, 6 Oktoba 2013

Maadhimisho ya vita yauwa zaidi Misri


Mtu aliyejeruhiwa katika maandamano ya Misri
Watu kama 15 wameuwawa kwenye mapambano nchini Misri wakati wafuasi wa rais wa Kiislamu,

CUF,NCCR Mageuzi,Chadema, wakubaliana na JK

Rais Jakaya Kikwete
Vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi , vimekubali ushauri wa Rais Jakaya Kikwete wa kutaka hoja ya

hebu cheki hii ajali hapa katika video wanafunzi wa nusurika kufa jijini dar

tazama hapa sasa tukio lenyewe la ajali jinsi ilivyo kua


Kenya yatangaza majina ya magaidi


Serikali ya Kenya imetaja majina ya watu 4 waliofanya shambulizi la kigaidi kwenye jengo la kibiashara la Westgate mjini Nairobi, na kutoa picha za video zinazowaonyesha magaidi hao ndani ya jengo walilolishambulia.
Mtafaruku ndani ya jengo la Westgate siku ya mashambulizi
Mtafaruku ndani ya jengo la Westgate siku ya mashambulizi

arekani yaingia Barawe na Tripoli

Anas al Libi

Waziri wa Mashauri ya nchi za Nje wa Marekani, John Kerry, amesema kuwa mashambulio yaliyofanywa na

MTOTO WA AJABU AZALIWA ZANZIBAR!


MTOTO WA AJABU AZALIWA ZANZIBAR, AANZA KUONGEA AKIWA NA MIEZI MIWILI TU. MAMA AMFIKISHA KWA VIONGOZI NA KUFUNGUKA MAKUBWA. SOMA HAPA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTTgDBnGW9SX4geMuOwRYLxCUpy7IGbfKvfPNZwBlssTDU_DSmKwscR5p5vYUJy1IEAKntyf5XomegC6f-YPLW8qlodzLJ_4xokTf0xaxv47eLQQF3QS7DytRpD1DycGSp-719IwacmA/s640/Capture.JPG



MTOTO wa miezi 10, aliyetambuliwa kwa jina la Fahazal mkazi wa Kivunge amefikishwa mbele ya serikali ya mkoa wa kaskazini Unguja, baada ya mama yake mzazi kusema amekuwa akitokewa na maajabu na kwamba jamii iombe dua ili kunusuru kutokea vifo.

Ungereza na Uturuki zakana kua hazikuvamia Barawe

Wapiganaji wa al-Shabaab nchini Somalia
Wanachama wa kundi la al-Shabaab nchini Somalia wanasema kuwa mji wao kusini mwa Somalia umeshambuliwa na wanajeshi wa mataifa ya Magharibi.