TANGAZO

TANGAZO
WEKA TANGAZO LAKO HAPA

Alhamisi, 3 Oktoba 2013

Uchunguzi wa DNA kwa viungo vya miili Kenya

Chumba cha kuhifadhia maiti cha baraza la jiji la Nairobi
Jamaa ya baadhi ya wakenya waliopotea kufuatia shambulizi la kigaidi la Westgate wamejitokeza kufanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA.
Polisi walitoa ombi hilo baada ya kupata viungo vya mwili katika jengo hilo

Kibali cha ICC kumkamata mwandishi Kenya


Walter Barasa

Mahakama ya kimataifa ya ICC, imetoa kibali cha kukamatwa kwa raia Mkenya ambaye anatuhumiwa kwa kujaribu kuwahonga mashahidi ili wajiondoe kwenye kesi dhidi ya Naibu Rais wa Kenya William Ruto.

Jumatano, 2 Oktoba 2013

Marekani - Funga afisi, hakuna pesa

Afisi zimefungwa. hakuna pesa
Serikali ya Marekani imeamkia Jumanne kwa pigo kubwa ya kufunga baadhi ya afisi za umma kutokana na ukosefu wa fedha za kuziendesha.

ICC yamsaka mshirika wa Gbagbo

Bwana Ble anashukiwa kufanya mauaji, ubakaji, mateso na vitendo vingine vya kinyama

Mahakama ya kimataifa ya ICC, imetangaza rasmi kutoa kibali cha kumkamata aliyekuwa waziri wa Ivory Coast,Charles Ble Goude kwa madai ya uhalifu wa kivita

Kenya - Bila usalama Somalia, hatutoki !


Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta atoa Onyo kali kwa magaidi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa majeshi ya Kenya yataendelea kukaa Somalia hadi usalama utakapoimarishwa katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita vya miaka mingi.

Jumanne, 1 Oktoba 2013

Jumanne, 01 Oktoba 2013 20:03 Iran: Obama akabiliane na wapenda vita

Iran: Obama akabiliane na wapenda vita



Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wanapaswa kuamiliana na Iran kwa kutilia maanani uhakika wa mambo na kuliheshimu taifa la nchi hii

UN: Idadi ya wakimbizi wa Congo imeongezeka




Ripoti mpya iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa idadi ya watu wanaokimbia vita na machafuko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ay Congo imeongezeka na kuwa zaidi ya laki tatu na nusu katika miezi ya hivi karibuni.